Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jobe: Ligi Kuu ya Bongo ni ngumu

Hii Ndio Sifa Ya Ziada Ya Jobe Simba SC.jpeg Jobe: Ligi Kuu ya Bongo ni ngumu

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Pa Omary Jobe amesema Ligi Kuu Tanzania bara ni ngumu kuliko hata CCL kwakuwa ushindani ni mkubwa zaidi.

“When you play in the Tanzania Premier League it is more difficult than playing in CAF Champions League because there (Champions League) you play basics, tactics and formal football but here it is kind of different," Pa Omar Jobe said.

///////////////////////////////////////

"Unapocheza Ligi Kuu ya Tanzania ni ngumu zaidi kuliko kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika kwa sababu huko (Ligi ya Mabingwa) unacheza misingi, mbinu na soka la kawaida lakini hapa ni tofauti," amesema Pa Omar Jobe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: