Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ishu ya Mashabiki wa Simba kwenda Misri ipo hivi

Snapinsta Mwana FA Naibu Waziri wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma

Tue, 2 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma amesema kuwa Serikali imepokea maombi ya Klabu ya Simba ya kupeleka mashabiki wake Misri kwa ajili ya kuiunga mkono timu hiyo kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly.

Mwinjuma ameyasema hayo nje ya Ukumbi wa Bunge leo Jumanne, Aprili 2, 2024 wakati akizungumza na Mwananchi mara baada kikao cha kwanza cha mkutano wa 15 wa Bunge la 12 unaoendelea jijini Dodoma.

Aidha kuhusu mapokezi ya timu hiyo, Mwinjuma amesema balozi za Tanzania kwenye nchi za Afrika ya Kusini na Misri zinafanya kazi kwa karibu na klabu hizo ili kuhakikisha hakuna jambo litakaloleta changamoto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: