Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inonga aripoti Kambi ya Timu ya Taifa Congo

Ingonga DR Congo Inonga aripoti Kambi ya Timu ya Taifa Congo

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kati wa Simba SC, Raia wa Congo Henock Inonga Baka tayari amewasili CONGO DR kwa ajili ya majukumu ya timu yake ya Taifa.

Mlinzi wa kati wa Simba SC, Raia wa Congo Henock Inonga Baka tayari amewasili CONGO DR kwa ajili ya majukumu ya timu yake ya Taifa. Inonga amekosa mechi kadhaa za klabu yake kutokana na kuuguza majeraha yake lakini ameitwa katika kikosi cha Timu ya Taifa kinachojiandaa na mechi 2 za kirafiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: