Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inonga aiwahi Al Ahly Dar (+Video)

Inonga A0132 Mlinzi wa Simba, Henock Inonga

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki kisiki wa Simba, Henoc Inonga amewasili jijini Dar usiku wa kuamkia leo kuungana na timu yake tayari kwa maandalizi ya mechi ya ufunguzi African Football League (AFL) Ijumaa Oktoba 20 dhidi ya Al Ahly katika uwanja wa Mkapa.

Inonga alikuwa katika majukumu ya Timu ya Taifa ya DR Congo na sasa amerejea rasmi Simba.

Tazama Video hapa chini Inonga akiwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: