Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu waipiga bao Simba kwa Victorien Adebayor

VVictorien Adebayor RS Berkane Kiungo Mshambuliaji,Victorien Adebayor

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya Simba ulionyesha nia kwa mara nyingine ya kumsajili mshambuliaji raia wa Niger Victorien Adebayor na walirejea Mezani ila kikwazo ni juu ya ofa ya klabu ya Ihefu waliyomuwekea kabla hajamalizana nao,

Uongozi wa klabu ya Simba ulionyesha nia kwa mara nyingine ya kumsajili mshambuliaji raia wa Niger Victorien Adebayor na walirejea Mezani ila kikwazo ni juu ya ofa ya klabu ya Ihefu waliyomuwekea kabla hajamalizana nao, Ikawa rahisi kwa klabu ya Ihefu kukamilisha usajili wa Mshambuliaji huyo na atajiunga na kikosi hicho Mwanzoni mwa msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: