Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio anaefuata kupewa "Thank You" Simba?

GQg 4QxW4AA Klb.jpeg Mohamed Mussa

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa klabu ya Gwambina na Mbeya City ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya Simba Mohamed Mussa huenda akaachana na klabu hiyo kwenye dirisha hili la usajili.

Nyota wa zamani wa klabu ya Gwambina na Mbeya City ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya Simba Mohamed Mussa huenda akaachana na klabu hiyo kwenye dirisha hili la usajili. Hii inakuja baada ya nyota huyo kushindwa kuonyesha kiwango bora tangu aliposajiliwa na klabu hiyo ya Simba akitokea Ligi kuu visiwani Zanzibar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: