Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa refa atakaeamua hatma ya Simba Misri leo

Jean Jacques Ndala Refa Jean Jacques Ndala kutoka DR Congo

Tue, 24 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa leo utachezeshwa na refa Jean Jacques Ndala kutoka DR Congo ambaye atasaidiwa na Jerson dos Santos wa Angola na Arsenio Marengula wa Msumbiji huku refa wa akiba akiwa ni Messie Nkounkou wa Congo.

Mchezo wa leo utachezeshwa na refa Jean Jacques Ndala kutoka DR Congo ambaye atasaidiwa na Jerson dos Santos wa Angola na Arsenio Marengula wa Msumbiji huku refa wa akiba akiwa ni Messie Nkounkou wa Congo. Refa Ndala amekuwa na historia nzuri na Simba ambapo katika mechi tatu alizoichezesha, imeibuka na ushindi mara mbili na kupoteza mchezo mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: