Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huu ndo mkwanja ambao Simba atakomba AFL

Simba Kikosi Kwenda Misri Huu ndo mkwanja ambao Simba atakomba AFL

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya safari ya Klabu ya Simba kukatishwa na Goli la Ugenini lililoibeba Klabu ya #AlAhly, Wekundu hao wa Msimbazi wamejihakikishia malipo ya Dola za Marekani 1,000,000 zilizotangazwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) linalosimamia Ligi ya African Football (AFL).

Michuano hiyo iliyoanzia hatua ya Robo Fainali, ilianza kwa kuvijumuisha Vilabu vya Enyimba FC (Nigeria), Wydad AC (Morocco), Mamelodi Sundowns FC (South Africa), TP Mazembe (DR Congo), Espérance Sportive de Tunis (Tunisia), Atlético Petróleos de Luanda (Angola), Al Ahly SC (Misri) na Simba SC (Tanzania).

Mshindi wa michuano hii ataondoka na Dola za Marekani 4,000,000 baada ya kukamilisha Michezo 6.

Timu gani unaitabiria nafasi ya kuondoka na zaidi ya Tsh. Bilioni 10 zilizotengwa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: