Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hizi hapa sababu Simba kupeleka Mechi yao Arusha, hujuma zatajwa (+Video)

Simba Kuvuja Jasho Hizi hapa sababu Simba kupeleka Mechi zao Arusha, hujuma zatajwa

Thu, 23 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mei 22 Siku ya Jumatano, Klabu ya Simba ilitangaza kuipeleka mechi yake ya nyumbani dhidi ya KMC katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.

Simba walikuwa wakitumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi ambao unamilikiwa na Azam FC ambao kwa sasa wako katika ushindani mkubwa wa kuwania nafasi ya pili na Simba SC.

Sasa Geoff Leah anatufafanulia kiini hasa cha mabadiliko hayo, sikiliza Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Muziki Unaongea ???? (@efmtanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: