Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hans Rafael: Msimu ujao Simba wanahitaji mchezaji mwenye uwezo zaidi ya Freddy

Hns X Freddy Hans Rafael: Msimu ujao Simba wanahitaji mchezaji mwenye uwezo zaidi ya Freddy

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukweli ni kwamba Freddy yuko On fire kwa sasa ila kuelea msimu ujao Simba wanahitaji quality zaidi ya Freddy….Simba wanahitaji mshambuliaji kinara ambaye atakuwa na ukatili,mwendelezo na uwezo wa kuibeba timu mabegani.

Ukweli ni kwamba Freddy yuko On fire kwa sasa ila kuelea msimu ujao Simba wanahitaji quality zaidi ya Freddy….Simba wanahitaji mshambuliaji kinara ambaye atakuwa na ukatili,mwendelezo na uwezo wa kuibeba timu mabegani. Kwa mahitaji ya Simba Freddy anatakiwa kuwa mshambuliaji namba mbili au tatu….kama kipindi kile cha Bocco,Mugalu na Kagere.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: