Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fabrice Ngoma anavyobeba hatma ya Simba Misri leo

Fabrice Ngoma Mwamba Kiungo wa Simba SC, Fabrice Ngoma

Tue, 24 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wengine wanapenda kumuita Midfielder Teacher, Ni kiungo asiye na mambo mengi uwanjani.

Always ni mtu wa kutimiza majukumu yake, Ni better kwenye tactical philosophy, tactical focus, team technical understanding na attacking tactics (kidogo)

He doesn’t waste a lot of energy because of how well he reads the game.

Wazungu huwa wanasema Slow but Sure.

Experience yake ya mechi za aina hii ilionekana juma lililopita, kwangu alikuwa Man Of the Match

Huyu hakupita Raja kwa bahati Mbaya, waarabu wanaijua shughuli yake.

Imagine wanacheza timu moja na The Tank Khalid Aucho yaani mmoja acheze RDM mwingine LDM.

Leo Saa 11 Jioni atakuwa na kazi ya kutimiza ndoto za wanasimba kutinga hatua ya nusu Fainali mbele ya magwiji Al Ahly.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: