Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Edo Kumwembe: Sio sawa Simba kumpa "Thank You" Saido (+Video)

Edo X Saido Kuachwa Edo Kumwembe: Sio sawa Simba kumpa "Thank You" Saido

Wed, 19 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Klabu ya Simba SC ikitangaza kuachana na aliekuwa kiungo Mshambuliaji wao raia wa Burundi, Said Ntibazonkiza "Saido".

Mchambuzi wa Michezo nguli nchini Edo Kumwembe ametoa maoni yake kuhusu uamuzi huo wa Klabu ya Simba huku akipinga kuwa haikupaswa Simba kumuacha Saido.

Akizungumza Edo anasema;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: