Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Edo Kumwembe: Lakred anapaswa kuchukua nafasi ya Manula (+Video)

Edo Lakred Edo Kumwembe: Lakred anapaswa kuchukua nafasi ya Manula

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda mlango wa Simba Ayoub Lakred anaonekana kukalia kuti kavu ndani ya Kikosi cha Simba SC.

Wengi wanahoji inakuaje Golikipa wa kigeni anashindwa kuchukua nafasi langoni hali ya kuwa amesajiliwa kwa pesa nyingi.

Mchambuzi wa Michezo kutoka Wasafi FM, Edo Kumwembe anasema Lakred ameshindwa kumpa changamoto.

Msikilize Edo kwa urefu hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: