Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Duchu asaini mkataba mpya Simba

DUCHUUUUU David Kameta ‘Duchu’

Mon, 12 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota David Kameta ‘Duchu’ aliyesajiliwa na Simba kutoka Lipuli FC ya Iringa miaka mitatu nyuma na alicheza Simba kabla ya kutolewa kwa mkopo Geita Gold na Mtibwa amesaini kandarasi mpya ya kuitumikia Simba wakati mkataba wake ulikuwa unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu.

Nyota David Kameta ‘Duchu’ aliyesajiliwa na Simba kutoka Lipuli FC ya Iringa miaka mitatu nyuma na alicheza Simba kabla ya kutolewa kwa mkopo Geita Gold na Mtibwa amesaini kandarasi mpya ya kuitumikia Simba wakati mkataba wake ulikuwa unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu. David amekuwa kwenye kiwango bora sana eneo la beki ya pembeni tangu akiwa Geita na mwendelezo mzuri Manungu, ilivutia Simba na kusaini kandarasi mpya mwezi April wa kuendelea kuwatumikia Wekundu hao wa Msimbazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: