Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cheki Miquissone alivyopokelewa Kambi ya Simba Uturuki (+Video)

Jose Luis Miquissone Kabini Jose Luis Miquissone akiwasili Kambi ya Simba Uturuki

Tue, 25 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Julai 25 Winga wa Simba Jose Luis Miquissone amewasili katika Kambi ya Simba iliyopo nchini Uturuki wakijiandaa na msimu mpya 2023/24.

Miquissone amekwenda kuungana na Timu na bila shaka atakuwa chini ya Programu maalum kabla ya kuungana na wachezaji wenzake.

Huu ni usajili a,bao Mashabiki wengi wa Simba wanausubiri kwa hamu kubwa kuona kile ambacho wanakitarajiwa kutoka kwa winga huyo.

Tazama Video hapa chini uone mchezaji huyo alivyowasili;

View this post on Instagram

A post shared by Simba Sports Club (@simbasctanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: