Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Che Malone ampishe Kennedy dhidi ya Al Ahly

Che Malone X Kennedy Juma Che Malone ampishe Kennedy dhidi ya Al Ahly

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi ya mkondo wa pili kati ya Al Ahly na klabu ya Simba itakayopigwa misri, ningetamani kuona mabadiliko kwenye safu ya ulinzi

Che malone na Inonga baka bado hawaonyeshi uwezo wa kutengeneza utofauti wao kwaajili ya kuifanya Simba kuwa Ubora katika safu ya ulinzi, Inonga na Che malone wote ni mabeki wenye sifa za kuchezea mpira zaidi na kupiga pasi za kusaidia kuichezesha timu, Lakini kwenye swala ya kuifanya ngome ya Simba kuwa ngumu kwa mpinzani bado wameonyesha makosa mara kwa mara

Kennedy Juma anasifa za kuwa na nguvu za kupambane na washambuliaji aina zote, Kennedy pia anasifa za kucheza mipira ya juu na kushindana na washambuliaji wenye vimo virefu, Kennedy anatabia za kucheza kwa ukaribu na washambuliaji hatari na kutowapa nafasi ya kushambulia kirahisi, Nafikiri kama atapa nafasi ya kuanza kwenye kikosi dhidi ya Al Ahly na kucheza na Inonga huenda safu ya ulinzi ya Simba ikawa na ubora mkubwa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: