Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama awajibu Mashabiki wanaomshambulia mitandaoni

Chama Ajibu Chama awajibu Mashabiki wanaomshambulia mitandaoni

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Disemba 21, 2023 Klabu ya Simba SC ilitoa taarifa ya kuwasimamisha wachezaji wake Clatous Chama na Nassor Kapama kwa makosa ya utovu wa Nidhamu.

Mara baada ya kutoka kwa taarifa hiyo mashabiki wengi walikimbilia katika kurasa za kijamii za wachezaji hao na kutoa yaliyo katika mioyo yao.

Sasa Clatous Chama ameonekana kujibizana na mashabiki hao kwa lugha ambazo zinaonesha kukosa ustaarabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: