Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama: Lengo letu kuyapita mafanikio ya msimu uliopita

Simba Full Squad .jpeg Kikosi cha Simba kilichoanza mchezo wa Jumapili vs Power Dynamos

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Simba, Clatous Chama amezungumzia kuhusu mechi ya jana dhidi ya Power Dynamos iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 na kufuzu makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa idadi ya mabao (3-3) baada ya kutoka sare ugenini 2-2.

Chama ameandika;

"Haikuwa rahisi ila tumefuzu makundi kwa mara ya sita, lengo ni kuyapita mafanikio tuliyopata msimu uliopita jwa namna yoyote,"

Simba iliishia hatua ya robo fainali msimu uliopota ikitolewa na Wydad Casablanca kwa mikwaju ya penalti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: