Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CEO Simba: Nimefanya kazi Arsenal

CEO Simba Imani Kajula Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Imani Kajula ameeleza kuhusu experience ambayo yuko nayo katika maisha ya mpira kabla ya kuhudumu Simba SC ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi na klabu kubwa ya Arsenal ya nchini Uingereza akisimama kama mshauri wa klabu hiyo huku Tanzania.

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Imani Kajula ameeleza kuhusu experience ambayo yuko nayo katika maisha ya mpira kabla ya kuhudumu Simba SC ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi na klabu kubwa ya Arsenal ya nchini Uingereza akisimama kama mshauri wa klabu hiyo huku Tanzania. Kajula aliteuliwa na Simba SC kushika wadhifa huo baada ya kuondoka kwa Barbara Gonzalez akipewa Mkataba wa miezi Sita (6) na hivi sasa Mkataba huo umeshamalizika huku kukiwa hakuna taarifa yoyote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: