Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CAFUPDATES: Half Time' Yanga 1-0 Medeama, Pacome mtu na nusu

Pacome 1 Goal Mfungaji wa bao la Yanga, Pacome Zouzoua

Wed, 20 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pacôme Zouzoua ameendelea kuinyanyasa Medeama katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kufunga bao la pili dakika ya 33 ambapo awali alifunga bao la kwanza dakika ya 36 katika mchezo raundi ya tatu uliopigwa Uwanja wa Baba Yara wiki iliyopita nchini Ghana.

Pacôme Zouzoua ameendelea kuinyanyasa Medeama katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kufunga bao la pili dakika ya 33 ambapo awali alifunga bao la kwanza dakika ya 36 katika mchezo raundi ya tatu uliopigwa Uwanja wa Baba Yara wiki iliyopita nchini Ghana. Yanga imeenda mapumziko na uongozi wa bao 1-0 mkononi dhidi ya wapinzani wao katika Uwanja wa Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: