Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF wagomea maombi ya Simba

Simba Scaled CAF wagomea maombi ya Simba

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja Habari na Mawasiliano Simba SC Ahmedy Ally amesema mchezo wao Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi Jwaneng Galaxy utachezwa Jumamosi Machi 2, 2024 saa 1:00 usiku, Licha ya Kupendeza kucheza mechi saa 10:00 jioni lakini CAF wameamua iwe saa 1:00 usiku ili michezo yote iwe muda mmoja.

Meneja Habari na Mawasiliano Simba SC Ahmedy Ally amesema mchezo wao Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi Jwaneng Galaxy utachezwa Jumamosi Machi 2, 2024 saa 1:00 usiku, Licha ya Kupendeza kucheza mechi saa 10:00 jioni lakini CAF wameamua iwe saa 1:00 usiku ili michezo yote iwe muda mmoja. Simba watacheza na Jwaneng Galaxy katika Uwanja wa Mkapa katika mchezo muhimu wa kutafuta nafasi ya kutinga Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: