Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bosi Simba atua Saudi Arabia

Try Again Saudi Arabia Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdallah "Try Again"

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdallah "Try Again" yupo nchini Saudi Arabia kwenye kozi ya Diploma ya Uongozi wa klabu inayotolewa na FIFA.

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdallah "Try Again" yupo nchini Saudi Arabia kwenye kozi ya Diploma ya Uongozi wa klabu inayotolewa na FIFA. Hata hivyo Mwenyekiti huyo pia atashiriki mkutano wa mpira wa miguu Duniani (World Football Summit).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: