Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bocco ndie Mshambuliaji Bora wa muda wote Ligi Kuu Bara?

Bocco Vs Prison.jpeg John Bocco akishangilia bao lake dhidi ya Prisons

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Simba John Raphael Bocco amefikisha magoli 158 kwenye Ligi kuu Kandanda Tanzania Bara.

Bocco anakuwa mshambuliaji wa kwanza kufikisha idadi hii ya magoli, na anafanikiwa kufunga katika misimu 15 mfululizo tangu aanze kucheza ligi kuu 2008.

Bocco amepita katika vilabu vya Azam FC na Simba Sports Club ambavyo amepata navyo mafanikio makubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: