Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bima kwa Wananchama wa Simba hadi Tsh mil 2

Mashabiki Simba Mkapa Bima kwa Wananchama wa Simba hadi Tsh mil 2

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amesema, katika ushirikiano kati ya Simba na benki ya CRDB kutakuwa na kadi za aina tatu kwa mashabiki wa timu hiyo.

1. Kadi ya Shabiki

2. Kadi maalum za watoto [chini ya miaka 18]

3. Kadi za Platinum.

Mashabiki wa Simba wataweza kufungua account [Simba Account] account hii itakuwa na Bima ya Maisha ambapo mke au mume akifiwa na mwenza wake au mtoto.

Simba katika kutambua umuhimu wa mwanamke, watakuwa na Simba Queen Account kupitia CRDB ambayo pia itakuwa na bima ya hadi Tsh. 2 milioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: