Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Biko Scanda: Simba ipi hovyo kuanzia Uwanjani mpaka kwa Viongozi

Simba Jezi Za Mazoezi Biko Scanda: Simba ipi hovyo kuanzia Uwanjani mpaka kwa Viongozi

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtaalamu wa masuala ya "Brands" Biko Scanda ameandika andiko kuhusiana na Klabu ya Simba baada ya kuachia picha zao za mazoezi wakijiandaa na michezo iliyopo mbele yao.

Biko kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameandika;

Je, Simba hawana Jezi za Mazoezi…? Wanachukulia vitu poa …? Au Hawana watu wanaojitambua kutimiza majukumu yao…?

Jibu ni rahisi tu, Simba hawana nyakati nzuri, Simba hawapo katika ubora wao kuanzia kwa viongozi hadi huku kwa wachezaji. Matokeo tunayoyaona ni mchakato wa kuonesha kiasi gani wapo hoi.

NB:

Macho kwenye Ubingwa yatawakosesha ubingwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: