Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benchikha kwenye tatu bora Tuzo ya Kocha Bora Afrika

Bechikhaaaaa Benchikha kwenye tatu bora Tuzo ya Kocha Bora Afrika

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha ameingia kwenye 3 bora ya makocha wanaowania tuzo ya kocha Bora wa msimu wa CAF.

TOP 3 YA KOCHA BORA WA CAF 2023

Abdelhak Benchikha (Algeria) - Bingwa wa CAF CC & CAF Super Cup.

Walid Regragui (Morocco) - Namba 1 Viwango vya FIFA - CAF (AFCON Qualified).

Aliou Ciss (Senegal) - Namba 2 Viwango vya FIFA - CAF. (AFCON Qualified).

Kwenye tano bora waliingia makocha hawa;

■ Abdelhak Benchikha - Wydad

■ Marcel Koller - Al Ahly

■ Tom Saintfet - Gambia

■ Walid Regragui - Morocco

■ Aliou Cisse - Senegal

Kocha wa Al Ahly ambao ni Mabingwa wa CAFCL 2023 hayupo kwenye orodha ya tatu Bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: