Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benchikha kuanza na usajili wa Straika huyu Simba

Abderrahmane Meziane Abderrahmane Meziane

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinasema kwamba Kocha Mkuu wa Klabu Hiyo Benchikha amependekeza jina Abderrahmane Meziane kutoka CR Belouzdad asajiliwe dirisha dogo ili aweze kukimbizana na malengo ambayo amewekewa na uongozi wa Simba.

Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinasema kwamba Kocha Mkuu wa Klabu Hiyo Benchikha amependekeza jina Abderrahmane Meziane kutoka CR Belouzdad asajiliwe dirisha dogo ili aweze kukimbizana na malengo ambayo amewekewa na uongozi wa Simba. Kocha Benchikha na Meziane walifanya kazi pamoja msimu uliopita akiwa na USM Alger.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: