Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benchikha: Ubingwa wa Ligi Kuu ni wetu

Benchikha Mapinduzi.jpeg Kocha Mkuu wa Simba SC Abdelhak Benchikha

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema kwamba anapambana kuhakikisha timu hiyo inaibuka na ushindi kila mechi ili waweze kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara

Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema kwamba anapambana kuhakikisha timu hiyo inaibuka na ushindi kila mechi ili waweze kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Ninapambana kwa moyo wangu wote kwa ajili kushinda kila siku na Simba, sisi tupo kwenye CAF Champions ambako nataka tufike mbali zaidi ya matarajio ya wengi, lakini pia ubingwa wa ligi ni muhimu lazima pia tufanye vizuri tushinde, nipo hapa kushinda mataji na Simba SC na nipo hapa kuendelea kuifanya kazi yangu kwa jitihada zote." amesema Benchika

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: