Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bei za tiketi Simba Sc vs Polisi TZ hizi hapa

SIMBA 388 1140x640.png Bei za tiketi Simba Sc vs Polisi TZ hizi hapa

Tue, 6 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Jumanne Simba itashuka uwanja wa Azam Complex, kumenyana na Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Ni moja ya mechi mbili za kukamilisha msimu ambapo mchezo wa pili dhidi ya Coastal Union utapigwa Ijumaa

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema huu ni mchezo maalum kwa Wanasimba 'kumwagilia mioyo'

Ni mechi ya heshima kwa Simba kuhitimisha msimu kwa ushindi katika mechi zote mbili zilizobaki

Viingilio vya mchezo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: