Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barbara Gonzales achafua hali ya hewa Simba SC

Barbara Gonzalez Mambo 7 Barbara Gonzalez

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku maoja baada ya Rais wa heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji kupost ujumbe ambao umezua sintofahamu kwa Mashabiki na wananchama wa Klabu ya Simba SC akidai kuchoka kutokana na kutokamilika kwa mchakato wa Transformation ndani ya Klabu ya Simba kwa miaka sita.

Leo Julai 12, aliekuwa CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametweet ujumbe ambao umeacha maswali kwa walio wengi.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Barbara ameandika;

"Hauwezi kudhulumu haki za watu halafu ukataka amani na mafanikio."

Tazama Tweet ya Barbara hapa chini;



Je unadhani Barbara anamlenga nani? mtaje

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: