Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baraka Mpenja kutangaza mechi ya Simba vs Ahly kwa Mkapa

Baraka Hudson Mpenja Mtangazaji wa Azam TV Baraka Hudson Mpenja

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa Azam TV Baraka Hudson Mpenja (sauti ya radi) amechaguliwa Kutangaza Mchezo wa Kesho wa Ufunguzi wa Michuano ya African Super League (AFL) Simba SC Vs Al Ahly.

Mtangazaji wa Azam TV Baraka Hudson Mpenja (sauti ya radi) amechaguliwa Kutangaza Mchezo wa Kesho wa Ufunguzi wa Michuano ya African Super League (AFL) Simba SC Vs Al Ahly. Baraka amekuwa kipenzi cha wanamichezo wengi katika utangazaji wa mechi na hivyo kesho Oktoba 20 anakwenda kuwapa wapenzi wa kandanda burudani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: