Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bao la mama lahamia kwa Simba vs Al Ahly

Msigwa Bocco Mk.jpeg Bao la mama lahamia kwa Simba vs Al Ahly

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa zawadi ya Tsh milioni 10 kwa kila goli ambalo Klabu ya Simba itafunga katika mchezo wa African Football League dhidi ya Al Ahly.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa zawadi ya Tsh milioni 10 kwa kila goli ambalo Klabu ya Simba itafunga katika mchezo wa African Football League dhidi ya Al Ahly. Michuano hiyo inayohusisha timu nane tu itaanza keshokutwa, Ijumaa, Oktoba 20, 2023 ambapo mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya Simba na AL Ahly majira ya saa 12:00 jioni katika Uwanja wa Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: