Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bao la Bocco sio offside - Jemedari Said

Bocco Simba Sgs.jpeg Bao la Bocco sio offside - Jemedari Said

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mijadala imekuwa mingi sana juu ya utata kuhusu goli la pili la Simba lilifungwa na John Bocco katika ushindi wa 3-1 dhidi ya TZ Prisons.

Anaandika Jemedari Said Kazumari;

Mpira wa miguu kiasili ni mchezo wa kiume, kama ilivyo kwa mpira wa pete (netiboli) kiasili ni mchezo wa kike, wanaume kucheza netiboli ni katika shida ya baadhi yetu tu.

Soka pia ni mchezo unaohusisha kugusana mara kwa mara na matumizi ya nguvu pia. Ndio maana kuna mazoezi ya nguvu wakati wa maandalizi na faulu ni pale matumizi ya nguvu yanapopita kiasi sio kila mtu akijiliza au kuguswa akaanguka.

Usikute mdada alikuwa anaona wataumizana hawa, kingine nchi imeskosa waamuzi wenye mamlaka kiwanjani ila wadada nadhani wamezidi aisee, hata kuwarudisha watu kwenye mstari anasumbuka khaa!

Wacha ligi ya wanawake ianze aisee, huyu mi mwamuzi bora wa Ligi ya wanawake msimu uliopita.

NB: Bao la Bocco sio offside (swipe uone picha mnato)

Bin Kazumari (The voice of the voiceless).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: