Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balozi wa Uingereza atua mazoezi ya Simba Bunju

Simba Bunju Bunju Balozi wa Uingereza atua mazoezi ya Simba Bunju

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar leo Oktoba 31 ametembelea mazoezi ya timu Simba kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena uliopo Bunju jijini Dar es Salaam na kukutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi.

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar leo Oktoba 31 ametembelea mazoezi ya timu Simba kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena uliopo Bunju jijini Dar es Salaam na kukutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi. Simba ipo katika uwanja wake wa mazoezi kujiandaa na mchezo wa Kariakoo Derby dhidi ya Yanga utakaochezwa Novemba 5, mwaka huu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: