Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Tshabalala amwaga wino Simba SC

Mohamed Hussein Tshabalala 2 Yrs Mlinzi wa Simba Mohamed Hussein

Mon, 10 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Simba SC kumuongezea mkataba mlinzi wake wa kulia Shomari Kapombe, Simba SC pia imemuongezea mkataba tena mlinzi wa kushoto Mohamed Hussein ‘ Tshabalala’.

Tshabalala amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kukipiga Msimbazi.

Mkataba huo mpya utaisha Juni 2025.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: