Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Simba wampa "Thank You" Saido Ntibazonkiza (+Video)

Video Archive
Tue, 18 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC imetangaza kuachana na mshambuliaji raia wa Burundi Saido Ntibazonkiza ambaye ameitumikia timu hiyo msimu mmoja na nusu.

Klabu ya Simba SC imetangaza kuachana na mshambuliaji raia wa Burundi Saido Ntibazonkiza ambaye ameitumikia timu hiyo msimu mmoja na nusu. Ntibazonkiza alijiunga na klabu ya Simba SC katika dirisha dogo la usajili mwaka jana 2023 akitokea Geita Gold.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: