Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azim Dewji awatuliza Simba, sakata la viongozi kujiuzulu

Azim Dewjiiiiii Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji

Mon, 10 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuacha kuendelea kuwashurutisha viongozi wao kujiuzulu akisema hatua hiyo itaibomoa timu yao.

Dewji ameyasema hayo leo kufuatia malumbano ya uongozi yanayoendelea ndani ya klabu hiyo.

Amewashauri viongozi wa Simba kujitokeza hadharani haraka kuwatuliza mashabiki wao huku akiwataka pia kuhakikisha wanasimamia vizuri usajili wa dirisha kubwa sambamba na kutafuta kocha ambaye atakaa kwa muda mrefu badala ya kuwa na mabadiliko ya mara kwa mara ambayo yamekuwa yakiiathiri timu hiyo.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: