Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yakiri kupokea ofa ya Prince Dube, Simba wajitosa

Prince Dube Ofa Azam FC yakiri kupokea ofa ya Prince Dube, Simba wajitosa

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea ofa 2 kwa ajili ya Mshambuliaji wao Prince Dube.

Ofa hizo mbili moja inatoka Simba SC ya Tanzania na nyingine inatoka kwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan.

Aidha Klabu ya Azam bado inakaribisha ofa zaidi kutoka vilabu mbalimbali ambavyo vimevutiwa na mchezaji huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: