Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ayoub awapishe Simba - Mchambuzi

Lakred Ayoub Trsns Ayoub awapishe Simba

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Ardio, Martin Mwakiposa amesema kuwa, kipa wa timu ya Simba, Ayoub Lakred raia wa Morocco anapaswa kuwapisha wachezaji wengine kwenye nafasi hiyo kwani ameshindwa kuonesha kile ambacho timu hiyo ilitarajia kutoka kwake.

Ayoub alisajiliwa mwanzoni mwa msimu huu akitokea Wydad Casablanca ya Morocco lakini ameshindwa kuwa chaguo namba moja kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Robertinho kutokana na kipa huyo kuruhusu mabao ya kizembe katika baadhi ya mechi alizocheza akiwa Simba.

"Simba katika safu yao ya golikipa mimi naona Ayoub awapishe Simba, kwa sababu kwa standard ambayo Aishi Manula ameitengeneza na ukiangalia hawa magolikipa wazawa wawili mimi naona Ayoub anastaahili kuondoka kwa sasa hivi.

"Kwa sababu Simba hawahitaji mtu ambaye aje kwa ajili ya kujifua pale ili apate performance bali wanahitaji mtu ambaye aje na ku-click moja kwa moja," amesema Mwakiposa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: