Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliepigwa na Mashabiki wa Simba kwa Mkapa atoa siri hii..!

Shabiki Wa Yanga Aliepigwa Mkapa Aliepigwa na Mashabiki wa Simba kwa Mkapa atoa siri hii..!

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jumamosi ya Oktoba 28 Timu ya Simba ilikuwa wenyeji wa Ihefu katika Uwanja wa Mkapa mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Mchezo huo uliokuwa na vuta nikuvute ulimalizika kwa Simba kuondoka na alama 3 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Katika mchezo ule kuliibuka tukio la Mashabiki wa Simba kuonekana wakimshambulia shabiki alionekana amevaa jezi ya Yanga.

Sasa Shabiki huyo kuputia kituo cha Efm amefunguka sababu za kupokea kichapo ambapo amesema;

"Sababu za mashabiki wa Simba kunipiga ni kuhisi imani za kishirikina, wao walikuwa wanasema kuwa mimi ndio chanzo cha kuzuia Simba Wasishinde katika Mchezo huo, kitu ambacho sio cha kweli,"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: