Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ali Kiba kupiga Shoo ufunguzi African Footbal League

Ali Kiba AFL Ali Kiba kupiga Shoo ufunguzi African Footbal League

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba atatoa burudani siku ya uzinduzi wa mashindano makubwa Barani Afrika ya African Football League.

Mashindano hayo yanatarajia kuanza rasmi Oktoba 20 kwa mechi moja kati ya Simba (Tanzania) dhidi ya Al Ahly (Misri) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Da es Salaam.

Mechi hiyo inatarajia kuonekana Dunia nzima kupitia chaneli za mitandaoni, ikiwemo kurasa za FIFA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: