Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alex Ngereza: Hii kesi Simba wakiamua basi Yanga hachomoki (+Video)

Ngereza X Yanga Bango Alex Ngereza: Hii kesi Simba wakiamua basi Yanga hachomoki

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakti kukiwa na sintofahamu juu ya Nembo ya Simba kutumika katika bango lililowekwa na Yanga kusherehesha ushindi wao wa bao 5-1 walioupata dhdi ya Simba Novemba 5 katika Uwanja wa Mkapa.

Kuna wanaoitaka Klabu ya Simba kwenda Mahakamani kwa vile nembo ya Klabu imetumika Kibiashara na mtu mwingine pasipo idhini yao.

Alex Ngereza anasema;

"Yanga hawachomoki hapa kama Simba wakiamua kwa kawaida huwezi kutumia logo ya timu nyingine yenye wadhamini wake kutangaza wadhamini wako"

Msikilize ngereza akifafanua kwenye Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by ALEX NGEREZA (@alexngereza._)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: