Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly watua Bongo, wachukua tahadhari zote (+Video)

Ahly Watua Bongo Al Ahly watua Bongo, wachukua tahadhari zote

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Al Ahly kimewasili Tanzania Oktoba 18, 2023 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Simba SC utakaopigwa Oktoba 20 mwaka huu katika uwanja wa Benjamini Mkapa kwenye michuano ya African Football League.

Pia, Balozi wa Misri nchini Tanzania Sharif Ismail amezungumza na wanahabari baada ya timu hiyo kuwasili jijini Dar ikiwa imebeba vitu vyao mbalimbali kwenye mapipa na kubebwa na gari la mizigo.

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: