Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly wapagawa na uswahili wa Ahmed Ally

Ahmed Ally Vs Ahly Al Ahly wapagawa na uswahili wa Ahmed Ally

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hamasa zinazoendelea kufanywa na klabu ya Simba chini ya Ahmed Ally kuelekea mechi dhidi ya Al Ahly zimekuwa na nguvu kubwa na kuungwa mkono na wadau wa soka na mashabiki wa klabu ya Simba

Hii inamaana kubwa sana kwa klabu ya Simba, Umati unaonekana kwenye hamasa nafikiri ata CAF hawatojuta kuifanya Tanzania kupitia klabu ya Simba kuchezwa mchezo wa kwanza wa African Football league

Klabu ya Al Ahly nadhani wanaona kila kitu kinachofanyika na wanasimba kwa hali yeyote nafikiri watakuwa wemeshatengeza hofu kubwa katika mchezo dhidi ya Simba, Kwangu sina deni lolote kwa uongozi wa Simba katika hamasa kinachosubiliwa kwetu ni ushindi mnono kutoka kwa klabu ya Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: