Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Akipangwa Mwamnyeto, Bocco aanze

Mwamnyeto 0474 Akipangwa Mwamnyeto, Bocco aanze

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Aldof Rishard amesema; “Kocha anaangalia mchezaji anampa nini na kwa wakati gani, Phiri, Baleke, John Bocco wako vizuri kutokana na matumizi ya kocha.

Kocha Aldof Rishard amesema; “Kocha anaangalia mchezaji anampa nini na kwa wakati gani, Phiri, Baleke, John Bocco wako vizuri kutokana na matumizi ya kocha. Kwa mfano Bocco ukimpanga basi lazima uangalie mpinzani wako yukoje, kama pale Yanga akipangwa Bakari Mwamnyeto kocha anaweza kumtumia Bocco kwa vile anaiweza mipira ya juu, anakaa na mpira, ni mmaliziaji mzuri, wengine ni watalaamu wa mipira ya chini na mipira mgawanyo,” alisema na kuongeza; . “Phiri na Baleke huenda kocha anajua hawa ndiyo wachezaji wangu wa akiba wanaojua kuusoma mchezo na kubalidilisha mchezo na matokeo, lakini kwa wachezaji hao pia wanapokaa benchi wanapaswa kuambiwa sababu za kuwaweka benchi.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: