Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed ally atupa kijembe" Documentary ni sawa na mkanda wa harusi"

Ahmed Ally Doc Ahmed Ally, Ofisa Habari wa Simba SC

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya jana Klabu ya Yanga kutangaza juu ya uzinduzi wa documentary inayoonyesha mafanikio waliyoyapata kwa msimu wa 2022/23, Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amesema Documentary ni sawa na mkanda wa Harusi au CD ya Send Off.

Baada ya jana Klabu ya Yanga kutangaza juu ya uzinduzi wa documentary inayoonyesha mafanikio waliyoyapata kwa msimu wa 2022/23, Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amesema Documentary ni sawa na mkanda wa Harusi au CD ya Send Off. Timu ya Yanga inatarajiwa kuzindua Documentary yake Agosti 7, Katika Ukumbi wa Dar Free itakayoelezea mafanikio yote ya msimu uliopita 2022/23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: