Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: hatuchezi kumridhisha kila mtu (+Video)

Tunataka Kufufukia Kwa Kagera Sugar   Ahmed Ally Ahmed Ally, Ofisa Habari wa Simba SC

Fri, 16 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja habari na mawasiliano Simba, Ahmed Ally atamba wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania uliomakizika kwa Simba kushinda bao 1-0 katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Februari 15, 2024.

"Hatuchezi kwa ajili ya kumfurahisha kila mtu, Clatous Chama anapoamua jambo lake hakuna wa kumuzuia".

Tazama Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: