Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally awatuliza Mashabiki Simba "Tulieni Mipango yetu ipo vizuri"

Ahmed Ally LEO Ahmed Ally awatuliza Mashabiki Simba "Tulieni Mipango yetu ipo vizuri"

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ameandika @ahmedally_

"Wiki moja tangu ligi imalizike na kumekua na ukimya wa taarifa kutoka Simba Sports Club kiasi cha kuzua hofu kidogo

Usahihi ni kwamba mipango na mikakati thabiti inaendelea na itakapokua tayari Wana Simba wote mtajulishwa

Jambo la kufurahisha ni kwamba mipango yote inatekelezwa kwa ustadi na ufanisi wa hali ya juu mnoo

Malengo tuliyojiwekea ya kuboresha timu yetu yamefikiwa kwa asilimia kubwa kwa maana ya kwamba mipango yetu kwenye soko la usajili iko vizuri sana

Niwaombe Wana Simba tutulie, la mgambo likilia tutafahamu kila kitu kuhusu timi yetu pendwa"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: