Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Utamu wa Simba ya Benchikha kama kupokea mshahara

Simba Ya Benchikha Ni Kama Kupokea Mshahara   Ahmed Ally.jpeg Simba ya Benchikha ni kama kupokea mshahara - Ahmed Ally

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema mara baada ya Simba kuanza kufundishwa na kocha wao mpya Benchikha, mazoezi yake yanavutia.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ahmed ameweka ujumbe huo akionesha ana hamu ya kwenda kuangalia mazoezi ya Benchikha.

"Muda ufike tuu tuende mazoezini siku hizi raha kweli kuona mazoezini yetu. Raha unayoipata kuiona Simba ya Benchikha ni kama kupokea mshahara au kuvunja kikoba."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: