Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Tutabeba Ubingwa mapema sana

Image 115 Ahmed Ally.png Ahmed Ally, Meneja wa Habari wa Simba SC

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Joto la Mechi ya watani wa Jadi Simba na Yanga, likiendelea kupanda kuelekea Novemba 5.

Ofisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa kwao mechi hiyo haina ugumu wowote na wanatarajia kuchukua alama tatu kama ambavyo wamechukua katika michezo yao 6 iliyopita.

Akizungumza Ahmed Ally anasema;

"Ni mechi ambayo tunakwenda kuendeleza ubabe kwa watani zetu. Ili tujiridhishe kwamba msimu huu tutafanya vizuri ni kupata ushindi katika mchezo huo.

Tunataka tuchukue ubingwa mapema sana, katika hili tunawashukuru Ihefu kwa kutusaidia kazi na sisi tunataka kuendeleza kuweka tofauti ya alama na Yanga SC."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: